chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 9,564
- 20,745
Haya mambo yapo hapa kwetu na yote haya yule Mzee misifa aka jiwe mwendazake.
Kipindi cha mkapa ukuweza kuona hata mwenye cheo kuanza kutaja taja hovyo jina raisi.
Ila sasa mpaka vyama vya bodaboda, wasanii, wabunge na n.k mtu akijamba ana mshukuru raisi yani vurugumai tupu.
Chengine raisi kwa sasa anapigiwa promo kuliko uwezo wake.