mbinguni
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 2,759
- 1,061
Siasa ya vyama vingi kwa Tanzania ina umri wa miaka 33 sasa tangu virudishwe rasmi mnamo mwaka 1992.
Siasa hizi zimepitia chamngamoto nyingi ndani ya mfumo na sheria na mazingira kandamizi ya chama kimoja tawala kilichohodhi mamlaka kwa zaidi ya miaka 45 sasa.
Pamoja na yote,kunaonekana kuna maendeleo japo kiduchu. Siasa hizi za vyama,kwa muono wangu zinaonekana zimeshindwa kabisa kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini. Ni wakati sasa rubadilishe mwelekeo,wananchi kwa wingi wao waanze harakati ili waweze kuleta mageuzi ya kisiasa kama kwa nchi kadhaa zilizowahi kufanya hivyo.