Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,647
Ndio nimeamini mpira wa Tanzania utabaki mdomon tu
Klabu iliyojizolea mashabiki lukuki kwa muda mfupi singida united Sasa inaporomoka kwa kasi tungekuwa bado tupo raund ya kwanza Nina uhakika asilimia kubwa ingeshuka daraja
Sababu zinazoipoteza
1. Ulevi na uzinzi kupindukia kwa wachezaji
Kwa waliowahi kufika singida watanielewa hapa singida Ni kimji kidogo sana ila kule kila mwanamke Ni mzuri na hawajui kukataa Sasa wachezaji wengi waliotoka mbeya, Congo, zanzibar nk ambako wanawake wazuri Ni wa kumulika kwa toch wamejikuta wanajushughulisha zaidi na wanawake kuliko uwanjani
Inasemekena Kuna mchezaji mmoja kutokea zanzibar amewapangishia nyumba wanawake watatu tofauti yeye mazoez ya asubuh kwake sio ya muhimu Tena akivimba kichwa baada ya kupata tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.
Ulevi, wapenz wa mpira kutokea mji wa singida wanasema wachezaji wamepewa uhuru mkubwa unakuta mchezaji yupo night club saa nane usiku huyu ataweza kwenda mazoezini na wanapewa ofa za pombe na matajiri wa alizeti huko singida na wenyewe hawajiongezi wanakunywa hadi majogoo
Nidhamu mbovu kwa wachezaji
Wachezaji wameota pembe baada ya michuano ya mapinduzi cup wanaamini wanaweza kusajiliwa simba, yanga au azam ndio maana hawana wasiwasi unaambiwa mchezaji anamtumia meseji kocha msaidizi
'oya ticha Leo siji tizi najskia ovyo' afu ilifikia usiku unamwona anakula ngano mahali'
Siasa kwenye timu
Wanaomiliki timu wote Ni wanaccm ila inaelekea mzee mwenye timu anatofatiana na kiongozi moja wa siasa ambaye kwa Sasa yupo kwenye nyadhifa serkalini
Wadau wanajiuliza Sasa kwann watofautiane wakati wale wote Ni Chama kimoja na wote Ni mashabiki wa yanga? Alihoji bwana mmoja aliyekuwa uwanjani katika mechi moja wapo ambazo nilihudhuria baada ya kufika mjin singida mapema mwezi huu wa pili
Inaonekana mzee ameizira timu baada ya kuingiliwa zaidi
Wadhamini wanapanga kujitoa
Hapa ndio Itakuwa msumari wa mwisho
Ikumbukwe singida united inawadhamini wengi ndani ya VPL
Lakini Kuna tetesi wamechoshwa na migogoro ya ndani isiyoisha ndani ya timu wanataka wazitoe pesa wazipeleke kwenye timu inayohitaji,
Viongozi kuondoka kwenye timu
Viongozi wengi walihaha kutafuta wachezaji na Wadhamini wameondoka
Kocha hana sauti
Kocha yeye akipata tatizo humpigia mtu aliyemleta na pale hana zaidi ya kusimamia mazoezi
Walikuja na mbwembwe Hawa watu