Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
TOA HOJA ACHA KUPONDA SLAA NAE NYOKA YULE
kwanza hatutaki porojo nyiiingi CHADEMA IPO HAI NA ITAENDELEA KUWA HAI AU FISIEM MKUU
Pumba punguza mahaba utakufa na preshaInasikitisha sana kuona nafasi ya Upinzani Bungeni na Mtaani ikichukuliwa na Chama kichanga cha ACT. Angalau Zitto anaweza kujenga hoja zenye maslahi kwa Umma kuliko ubishi wa CHADEMA hivi sasa.
1. Walisema Mh Jakaya Kikwete ni Dhaifu kiutawala, sasa wanasema JPM Dikteta!! Asiwashughulikie Mafisadi ambayo ndiyo ilikuwa Ajenda ya CHADEMA hai nyakati zile!! Siamini!
2. Walipigania uwajibikaji Serikalini nyakati zile lakini sasa wanasema Wazembe watangulie Mahakamani kuipinga Serikali kwa kuishtaki!! Siamini!
3.Hoja iliyobaki sasa ni kupigania Bunge kuoneshwa live! Basi! Hakuna hoja nyingine zenye maslahi ya wengi kama kuibana Serikali iboreshe huduma kwa Wananchi na kadhalika?? Ni kweli mmefilisika kiasi hicho? INASIKITISHA SANA. Kubalini mlifanya makosa kuitupa dhahabu wakati ilipohitajika sana kwa tama za wachache. Mpigieni magoti Dr. Slaa na kuwarudisha mliowafukuza kwa uonevu kama Zitto Kabwe et al.
Enyi Chadema.... Ni nani aliyewaroga?
HOJA NI KWAMBA IMEACHANA NA SERA ZAKE ZA KUPIGANIA UWAJIBIKAJI, KUPIGA VITA RUSHWA NA UFISADI NA KUSIMAMIA RASILIMALI ZA UMMA NA SASA INAFANYA KINYUME NA KUPOTEZA KABISA MATUMAINI WALIYOKUWA NAYO WANANCHI ZAMA ZILE. HUKO NDIKO KUPOROMOKA. WEWE TOA HOJA NYUMBU WE!TOA HOJA ACHA KUPONDA SLAA NAE NYOKA YULE
kwanza hatutaki porojo nyiiingi CHADEMA IPO HAI NA ITAENDELEA KUWA HAI AU FISIEM MKUU
mnaongea sana wazee wa kubebana bila sera mnapelekeshwa TUNAISOMA MICHEZO YENUTumekusikia haya zungusha mikono.
Uwajibikaji wa kuvunja sheria n wawapi punguza mzuka.HOJA NI KWAMBA IMEACHANA NA SERA ZAKE ZA KUPIGANIA UWAJIBIKAJI, KUPIGA VITA RUSHWA NA UFISADI NA KUSIMAMIA RASILIMALI ZA UMMA NA SASA INAFANYA KINYUME NA KUPOTEZA KABISA MATUMAINI WALIYOKUWA NAYO WANANCHI ZAMA ZILE. HUKO NDIKO KUPOROMOKA. WEWE TOA HOJA NYUMBU WE!
HOJA NI KWAMBA IMEACHANA NA SERA ZAKE ZA KUPIGANIA UWAJIBIKAJI, KUPIGA VITA RUSHWA NA UFISADI NA KUSIMAMIA RASILIMALI ZA UMMA NA SASA INAFANYA KINYUME NA KUPOTEZA KABISA MATUMAINI WALIYOKUWA NAYO WANANCHI ZAMA ZILE. HUKO NDIKO KUPOROMOKA. WEWE TOA HOJA NYUMBU WE!
SIO KOSA LAKO. WW UMEZALIWA JUZI NA HUJUI HISTORIA YA NCHI HII PERIOD!!Uwajibikaji wa kuvunja sheria n wawapi punguza mzuka.
Kweli CHADEMA mnakera sana. Mmepoteza dira kabisa. Mmpatwa na nini hasaTumekusikia haya zungusha mikono.
Nimesoma kuliko baba yako na nina wadhifa mkubwa tu kuliko wewe. Jibu hoja kwanza. Hakuna mtumishi anayesimamishwa bila kuundiwa Kamati ya Uchunguzi na taratibu za Nidhamu kuzingatiwa. Inawezekana hapo kwenye kijiwe chako cha kahawa hamna habari ya kinachoendelea baada ya mtu kutangazwa amesimamishwa kazi!! Jifunzeni Sheria za utumishi wa Umma msitegemee kumsikiliza Lissu Bungeni tu!Unaumwa njaa lumumba buku 7 inaonekana Elimu yao ni chini sana.
swissme
Nimesoma kuliko baba yako na nina wadhifa mkubwa tu kuliko wewe. Jibu hoja kwanza. Hakuna mtumishi anayesimamishwa bila kuundiwa Kamati ya Uchunguzi na taratibu za Nidhamu kuzingatiwa. Inawezekana hapo kwenye kijiwe chako cha kahawa hamna habari ya kinachoendelea baada ya mtu kutangazwa amesimamishwa kazi!! Jifunzeni Sheria za utumishi wa Umma msitegemee kumsikiliza Lissu Bungeni tu!
Rais, Waziri, Mkuu wa Mkoa na Viongozi wanapoagiza mtu asimamishwe kuna hatua za Kinidhamu zinafuata na Lissu anajua vizuri. Mbona hamuelewi?Mkuu ile sheria ya majukumu ya mawaziri nadhani section 5(1) ndo imekiukwa. Hoja ndio hiyo usipotoshe. Km viongozi ndio nyie, du kaaaaazi kweli kweli!
Hebu ficha upumbavu wako! So Historia inapingana na Sheria na unataka tufuate Historia badala ya Sheria?SIO KOSA LAKO. WW UMEZALIWA JUZI NA HUJUI HISTORIA YA NCHI HII PERIOD!!
Jikite kwenye hoja na sio kutoa makele kama umebanwa na mlango.TOA HOJA ACHA KUPONDA SLAA NAE NYOKA YULE
kwanza hatutaki porojo nyiiingi CHADEMA IPO HAI NA ITAENDELEA KUWA HAI AU FISIEM MKUU
Kazi ya CHADEMA ni kuwakera vilaza chama cha majipu. So pole sanaKweli CHADEMA mnakera sana. Mmepoteza dira kabisa. Mmpatwa na nini hasa