Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 656
- 2,193
List ya wanawake anaotajwa kuwashughulikia Baltasar Mwaegonga ni kama ifuatavyo:
1. Wake wa mawaziri 20,
2. Mke wa mchungaji kanisa anakosali
3. Mtoto wa mdogo wake rais wa nchi
4. Mke wa mjomba wake mjamzito
5. Mke wa mkuu wa polisi
6. Mke wa mkuu wa idara ya usalama wa rais
7. Wake wa maafisa waandamizi wa jeshi
8. Mke wa mwanasheria mkuu wa serikali
9. Mke wa mdogo wake
10. Mke wa mlinzi wa rais
11. Wafanyakazi wenzake
12. Wake wa ndugu jamaa na marafiki
Idadi inatajwa kuwa wanawake takribani 400.
Huyu jamaa Ni mnyakyusa iliyekuwa na makazi yake huko nchini Equatoria Guinea, anaitwa Baltazar Mwaegonga na ni mwamba kwelikweli fikiria ujasiri wa kunyandua wake wa maafisa wa jeshi, polisi, usalama na mawaziri mpaka mke wa baba mchungaji wake aliutoa wapi? Kapeperusha vyema sana bendera ya Tukuyu.
Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati