Shyne: "Nilidhani Diddy atanipata $10million kwa kuspend miaka 10 gerezani kwa ajili yake ila nilishangaa yeye kuni offer $50,000"

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
3,024
9,145
Shyne "Jamaa ananipa 50k wakati huo ametoka kuspend 500k kwa mpenzi wake"

Shyne ambae alikuwa mmoja wa entourage ya diddy wakati mtu mmoja alipopigwa risasi hadi kufa kwenye party, alikataa kusema ukweli kwa kile kilichotokea kupelekea mauaji ya jamaa huyo alipokuwa kiziuzini.

Aliamua kuchukua blame hio huku akisema alikuwa anafanya "self defence" ndio akampiga risasi huyo jamaa aliefanya ugomvi na diddy.

Hii ilipelekea mwamba kupewa kifungo cha miaka 13 kwa kukataa kushirikiana zaidi kuhusu tukio hilo huku akichukua blame ya tukio juu yake.



View: https://youtube.com/shorts/MDYdMsi4JhQ?si=ZtFNFYVcJ_mn5gcU
 
Back
Top Bottom