Shuleni inabidi waanze kutoa somo la namna ya kutongoza, ubakaji na ulawiti kwa watoto wadogo vimezidi

Pain killer

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
14,362
21,650
Habari wakuu ..!

Mimi naona kwa jinsi vitendo vya ubakaji ,kulawiti watoto wadogo ,na unyanyasaji wa kingono kwa watoto vinavyozidi kutamalaki kwenye jamii zetu ,ifike hatua serikali itoe SoMo huko mashuleni namna ya kutongoza na kubembeleza ili kupata mbususu kirahisi ..!

Maana binadamu anazaliwa hajui kubembeleza na kutongoza Sasa inafika wakati anapata wakati mgumu Sana linapokuja hitaji la tendo la ndoa maana unakuta mwili unachemka hatari ,mwili unamsumbua kweli kweli mbaya zaidi namna ya kuipata mbususu ya kusasambua mazingira yanakuwa magumu ,anaamua kufanya matendo maovu kama kubaka na kulawiti watoto ..!

Pindi watoto watakapofundishwa kutoka shuleni , primary, secondary mpaka chuo kikuu namna ya kutongoza basi watu watakuwa wanajua sehemu ya kuanzia ili kupata mbususu kirahisi .!

Mh waziri wa elimu ,na wadau wa elimu wote kwa pamoja hili swala ifike hatua tulichukulie hatua sio tunalaumu tu watu wanabaka na kubaki tunatoa macho bila kujua solution la tatizo ,tutabaki tunafunga watu wangapi na kulaumu watu wangapi ,tusipo jua chanzo cha watu kubaka ,hatutaweza kutatua hili tatizo ...

inabidi tufundishe watu ,namna ya kuaachana na udomo zege ,watanzania waache kuwa matimbulo ..!

Tunahitaji kizazi kinachoweza kutongoza na kishawishi ili kupata mbususu kirahisi kuepuka ubakaji .!

Uzi tayari
View attachment 2250169
 
Mbona siku kuna malaya sana sana kwanini wasinunue huko mpaka wanaenda kutongoza Aseh
 
Hua nafauatilia crime cases za nje wabakaji wengi ni waukesha za watu kabisa kwahio sikuwahi kudhani shida ni kushindwa kutongoza.
 
Hiki hapa kimeshaingizw
Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke Yeyote Ukampata - Dkt. Dyaboli.png
a kwenye mtaala wa elimu Kenya
 
Back
Top Bottom