A
Anonymous
Guest
Wana jamvi,
Naandika kutoka shule ya msingi Mugundu ilioko mkoa wa Singida,wilaya ya Iramba,tarafa ya kinampanda,kata ya Kyengege.
Tuna shida ya uongozi wa shule alihamishwa mwl mkuu Sebastian mwenye degree aliekuwa analeta maendeleo shuleni, tukaletewa kaimu mwl mkuu mwenye certificate wakati hapo shuleni kukiwa na walimu wenye diploma hawakupewa kukaimu.
Baada ya wananchi kupaza sauti kwa diwani,diwani alijibu yeye ndio kamhamisha eti Hana maendeleo,hivi ninavyo andika kamati ya shule ilisha jiuzulu tangu MWAKA Jana mwezi wa tatu na kaimu mwl mkuu hajaitisha kikao Cha wazazi kuchagua kamati mpya zaidi ya hapo mwezi uliopita kateua kamati yake.
Swali, hivi diwani Ambae ndie mwenyekiti wa halmashauri ana mamlaka ya kuhamisha watumishi.
Je, nikisema uhamisho huu una sura ya kisiasa nitakosea kwa sababu MWAKA 2023 mwl Seba aliitisha harambee ya uchangiaji madawati ambayo ilifanikiwa mgeni rasmi hakuna diwani kwa hiyo alikasirishwa na kitendo hicho
Hivi kiutumishi inawezekana certificate kumuongoza diploma? Kukaimu huwa hakuna muda ili upandishwe cheo kuwa mkuu kamili?
Je, nitakosea kusema huku ni kupandishana cheo kijanja kwa kuendelea kukaimishana tu
Tunaomba mamlaka zitusaidie kwani tumenda hata kwa mkuu wa wilaya ili atusaidie alisema atakuja Ila tangu MWAKA Jana hajaja mpaka Leo, shule imedorola wazazi hawataki kuchangia chakula kwa sababu hawamtaki kaimu mwl mkuu Shila tunaomba msaada wa haraka