Shule ya kufundisha

geee kay

Senior Member
Mar 21, 2015
112
63
Mimi ni mhitimu wa digrii ya ualimu katika chuo kikuu cha Dar es salaam,kwa masomo ya Geography na Kiswahili.

Natafuta shule ya kufundisha iwe ya sekondari au English medium. Mshahara wowote nitapokea ili mradi niendelee kubaki katika taaluma yangu ya Ualimu. Asanteni
 
Duh! ndo tulipofikia hapa mshahara WOWOTE kweli mtu mwenye degree!!!!, mkuu ushauri wangu tafuta walimu wenzako wa masomo ya sayansi ambae nao wana sifa km zako anzisheni Tuition itawalipa kwa masomo ya sayansi na hayo yako hususani km upo mkoani yaan nje ya Dsm
 
Kuna tuition center nataka kuifungua..mahali ni kihonda morogoro....nahtaj mtu wa kushare nae cost then mapato itakuwa 50-50...aliyetayar 0716069884
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…