M mezanane Senior Member Apr 11, 2011 116 185 Apr 5, 2016 #1 Wadau nahitaji kujua shule nzuri za primary English Medium Dar es Salaam nataka kumanzisha mtoto
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Apr 5, 2016 #2 Sehemu gani, maana kila wilaya ina shule nzuri
Einsten JF-Expert Member Mar 15, 2013 921 790 Apr 6, 2016 #4 Mpeleke Mount Everest au Fountain of joy mbezi hizi shule ni nzuri sana ila kama unayo pesa ya kutosha mpeleke Feza schools
Mpeleke Mount Everest au Fountain of joy mbezi hizi shule ni nzuri sana ila kama unayo pesa ya kutosha mpeleke Feza schools
M mnyamwezi Member Sep 25, 2007 31 13 Apr 7, 2016 #5 Einsten said: Mpeleke Mount Everest au Fountain of joy mbezi hizi shule ni nzuri sana ila kama unayo pesa ya kutosha mpeleke Feza schools Click to expand... mpeleke HAZINA shule nzuri sana.
Einsten said: Mpeleke Mount Everest au Fountain of joy mbezi hizi shule ni nzuri sana ila kama unayo pesa ya kutosha mpeleke Feza schools Click to expand... mpeleke HAZINA shule nzuri sana.
beeper JF-Expert Member Dec 30, 2013 253 106 Apr 7, 2016 #6 Einsten said: Mpeleke Mount Everest au Fountain of joy mbezi hizi shule ni nzuri sana ila kama unayo pesa ya kutosha mpeleke Feza schools Click to expand... FEZA HAAWAPO POUWA PRIMARY MPELEKE AZINA
Einsten said: Mpeleke Mount Everest au Fountain of joy mbezi hizi shule ni nzuri sana ila kama unayo pesa ya kutosha mpeleke Feza schools Click to expand... FEZA HAAWAPO POUWA PRIMARY MPELEKE AZINA
Jongwe JF-Expert Member Apr 25, 2008 1,040 662 Apr 7, 2016 #7 St. Joseph Millennium Primary, hata ada nafuu ila kupata nafasi ndio nongwa. .
K kagosha Member Aug 3, 2010 99 29 May 19, 2017 #8 wadau kama anaye fahamu shule nzuri ya watoto maeneo karibu na kibamba tafadhali