SHUKURANI KWA MUNGU BABA

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
'Ee Bwana, Mungu Wangu,
Umefanya kwa wingi miujiza yako na mawazo yako kwetu,
Hakuna awezaye kufananishwa nawe.
Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri,
Ni mengi sana hayahesabiki.

Dhabihu na Matoleo hukupendezwa mayo,
Masikio yangu yamezibua,
Kafara na sadaka za Dhambi hukuzitaka pale nilipo kosea.

Ee Bwana ndio furaha yangu
Kukushukuru kwa yote yalio nijili tangu nazaliwa mpaka 2016 haya yote kwa sababu ya upendo wako wa pekeee..'

LAKINI EE MUNGU...
Nakuomba mwaka ujao(2017) sikiliza vilio vya wafuatao;
1.Yatima
2.Masikin
3.Wajane
4.Wagonjwa
5.Walemavu
6. Walio na majanga kama;
-ukame
-mafuliko
-njaa
-vita
-maradhi.
Katika yote baba bariki na ponya. Amen....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…