Shukrani kwa kuanzishwa mtandao wa JamiiForums

mapara manne

Member
Dec 27, 2016
10
9
Ndugu wana jf natoa shukrani zangu kwa walioanzisha huu mtandao wa jf. Shukrani zaidi ziende kwa wanajamii forums wote, nimefaidika kwa mengi niliyokuwa nayajuwa na nisiyokuwa nayajuwa.

Siwezi kupitisha hata siku moja bila kuingia jf imekuwa ikiniliwaza pale ninapokuwa na mawazo mengi , tuendelee kupeana taarifa hasa kwa sisi tulioko mbali.
 
Mimi na yule mwenzangu wa humu, tulikutana humuhumu na tunaishi humuhumu aiseeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…