Shujaa Magufuli alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM 2016 ndio alifuta Utaratibu wa CCM kuitegemea Serikali, nashauri Lisu naye asitegemee CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,689
Kwa Miaka yote ya Uenyekiti wa Mbowe CHADEMA amekuwa akifadhiliwa na Makada wa CCM katika mambo mbalimbali ya Kisiasa na hata Kikanisa

Hii ndio sababu alimshukuru Mwenyekiti wa CCM Mpendwa wetu mh Rais Samia Kwa kufanikisha Chadema kupata Jengo la Makao Makuu kupitia Maridhiano

Kama Kweli Lisu anataka kuleta mabadiliko ni lazima aanze upya huku akiwaomba Wana Chadema kuwa wavumilivu

Aanze kwanza na audit ya Mali za Chama kama zipo kisha aimarishe Daftari la Wanachama Ili kuwa na uratibu Mzuri wa Ada za wanachama

Magufuli alitembea Kwa miguu kutoka Ikulu hadi CRDB Holland House Ili kujiridhisha

Mbowe hajawahi kutoa Hela ya ugali wa familia yake Ili kuisaidia Chadema, TUSIDANGANYANE 🐼

Jumaa Mubarak 😀
 
Back
Top Bottom