Shughuli zote za Kiserikali zifanyike Dodoma, Dar Es Salaam iachwe kwa mambo ya Biashara tu

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,603
3,658
Binafsi nimuombe Rais Samia S. Hassan aongeze kasi ya kuijenga Dodoma ili shughuli zote za kiserikali including zake mwenyewe zifanyikie Dodoma.

Dar es Salaam tuiache ipanuke kibiashara zaidi.

Mikutano yote ya kitaifa na kimataifa ya kiserikali ifanyikie Dodoma.

Marais wakija Tanzania waende DODOMA wasikae Dar es Salaam
 
Kweli ni usumbufu.. hao walipaswa wakakutane Dodoma kwenye mji wa serikali.

Imagine CITY CENTRE wanafunga bara bara kutwa nzima
 
Dar itabaki kuwa Dar pia ni jiji la mfano kwa viongozi wengi wanaokuja hapa tunahitaji tu kuliplan vizuri kimiundo mbinu, kuweka Ring Roads za kutosha na bara bara za emergence

Tujifunze pia hata wageni wakiondoka haiwezekani mjini kumejaa biashara kibao ambazo sio rasmi kati kati ya jiji watu wanauza fenesi, Tanzanite bridge sasa ni kilinge cha wauza maparachihi, feri ni vurugu za boda kama zote.

Tuweke utaratibu
 
Back
Top Bottom