Show ya diamond na neyo UK ilikuwa kiki tu aka hewa

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
2,264
4,702
Diamond ni msanii mdogo sana afrika na duniani. Ila ni mkubwa tanzania. Mwaka jana alitudanganya anashow uk na neyo akatupa na ratiba kumbe ilikuwa kiki. Acha kiki hizo

Pia ameleta pafyumu iliyokuwa na bei kubwa sana. Kiukweli mimi sitanunua. We kanunue mana una hela. Africa sada hivi wanaotamba ni wiz kid. Davido na p square
 
kwa mawazo yako mgando, wabongo tutaendelea kuwa maskini mpaka dunia inaisha.

Tuache mawao ya aina hiyo na tubadilike, tupelekane mbele mdogo mdogo! Tukitengeneza bilionea mwingine bongo atanufaisha wabongo wengine weengi, tusaidiane kupelekane mbele kwa kuinuana kiuchumi na kama hatuna uwezo wa kununua basi tuunge mkono juhudi na mawazo yake na wengine wa dizaini hii.

tusiishie kuwa na roho za kichawi tu, mtu akiendelea lazima arogwe ili asiendelee wakati wewe hufanyi juhudi zozote za kutafuta maendeleo.

na katika hili kiba pia ajifunze, aanzishe hata brand yake ya nguo, akishindwa hata afungue supermarket. akitoka yeye atatoa na wengine.

Pamoja, tutaijenga tanzania bora zaidi
 
Sina hakika kama Diamond bado atakuwepo au vipi lakini ile show haikuwa kiki! Umeona kimya kwa sababu imesogezwa mbele hadi September!!!
 
sas ushauri wako ni nini kwa sie tunaothamini vya kwetu!!!!?
 

Dah yaani kama nakuona usoni..full of stress..magu huyu anatuchanganya sana basi tuu..
 
Haikuwa kiki, maana mimi niliona mpaka hizo posters huku UK miji ya manchester na London ila sijui what happened, it seems imekuwa cancelled au postponed for the second time to another date which I think bora waache tu maana kama ni patience fans maji yamewafika shingoni.

Kuhusu perfume am a big fun wa juhudi za jamaa na his guts ila hapa naona hakupata ushauri mzuri, he didn't have proffesionals for this. Maana will all know salam na Tale labda kwa music shows ila when it comes to marketing za franchises kama hizi lets just be honest wanafanya trial and error, mnakumbuka wasafi clothing line???

Ishu diamond anasahau who are majority of his fans. Sitaki kuwa hater ila wengi ni vijana wenye vipato vya kawaida, hardly can afford a 30,000 perfume. Sasa unaleta perfume ya 105,000, unalenga soko la wenye hela ambao unasahau hata wawe patriotic kivipi I doubt mtu aache DIOR , GIORGIO AMANI , GUCCI , CALVIN CLAIN , HUGO BOSS ambazo price tag zake ndio hio range 100-200k akanunue CHIBU PERFUME.

Angeanza na hata deodorant ya 15,000 au 20,000 asome mzunguko kwanza.
 
Acha wizi wa kifala sasa unaleta story za umbea tu pafyumu watanunua wanaopenda Ku support juhudi zake

Kumchukia mwenye mafanikio hukufanyi uwe na unafuu na life yako komaa kaza tako hilo
 
msalimie Pogba
 
Kwani umelazimishwa kununua ata ungeuziwa buku tano bado ungeponda
Subiria kiba atoe zake za buku jero ukanunue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…