YoyoTheDeveloper
Member
- Oct 9, 2021
- 36
- 42
Habari zenu wana JF,
Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo.
Which one should i go for?
- Wapo wanaosema silent ocean wako vizuri na wako fasta, wapo wanaosema Silent ocean ni wacheleweshaji sana.
- Wapo wanaosema Shamwaa wako vizuri sana, wapo pia wanaosema Shamwaa Hawapo vizuri.
-Wapo wanaosema Mapembelo Cargo wako vizuri ( hawa sijaona negative comment kutoka kwa watu )
Mwenye uzoefu wowote kuhusu kampuni tajwa hapo, naomba msaada..
Natanguliza Shukrani zAngu.