Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,713
- 13,463
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Shinyanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengineMkoa wa Shinyanga uko Kanda ya Ziwa katika Tanzania na ni maarufu kwa shughuli za kilimo na ufugaji, pamoja na madini, hasa almasi. Mkoa huu una historia ya utajiri wa madini, hususan kupitia mgodi maarufu wa almasi wa Mwadui.
MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA SHINYANGA
Katika muhtasari wa maeneo ya utawala, mkoa huu una halmashauri ambazo zimegawanyika katika mamlaka za miji na wilaya.
SOMA PIA
1. Idadi ya Watu
Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Mkoa wa Shinyanga una takriban watu 1,904,891.2. Wilaya za Mkoa wa Shinyanga
Mkoa wa Shinyanga una jumla ya wilaya 5, ambazo ni:- Shinyanga Manispaa
- Shinyanga Vijijini
- Kahama
- Kishapu
3. Idadi ya Majimbo ya Uchaguzi
Mkoa wa Shinyanga una jumla ya majimbo 7 ya uchaguzi:- Jimbo la Shinyanga Mjini
- Jimbo la Solwa
- Jimbo la Kahama Mjini
- Jimbo la Msalala
- Jimbo la Kishapu
- Jimbo la Ushetu
Viunganishi vinavyohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 mkoa wa Shinyanga
- Uchaguzi Serikali za Mitaa: Hakuna kupita bila kupingwa, atakapopatikana mgombea mmoja, atapigiwa kura za ndiyo au hapana
- Dkt Nchimbi awahakikishia wananchi wa Tinde kuongezewa kituo cha Afya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025
- Dkt. Nchimbi: Acheni kupanga safu, viongozi bora ndio wapitishwe, ni kosa kubwa la kimaadili kiongozi kumkamia mwanachama kwamba atahakikisha anakatwa
- Makalla: CHADEMA kazi ya kuwaombea kura siyo ya Serikali ni kazi ya chama
- Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura
- Shinyanga: Mwanafunzi wa miaka 16 akutwa na wakala wa CHADEMA akiwa anajiandikisha kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa. Apigwa maswali mazito!
- Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu aamua kutembelea ofisi mbalimbali kuhamasisha Watu wakajiandikishe katika Daftari la Kupiga Kura
- LGE2024 - Shinyanga: TAKUKURU yathibitisha uwepo wa rushwa kwenye Uchaguzi. Yadokeza Machawa kupelekwa Mbuga Za Wanyama na wapinzani kuhongwa ili wajitoe
- LGE2024 - Shinyanga: Wananchi wafichua kukosekana kwa karatasi za kupigia kura. Karatasi za kwenye notebook zatumika kama mbadala
- LGE2024 - Shinyanga: Kura bandia zadaiwa kukamatwa
- LGE2024 - Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100
- LGE2024 - Kahama: Wakazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula washinikiza mgombea wao kupitia CHADEMA atangazwe