Kwa tuhuma??????Hii nchi
.
Vimshahara vyenyewe vya maaskari vidunchu, alaf hata hawajathibisha kama ni kweli or not, kwa tuhuma tu wanamfukuza. Maana ingekua imethibitika anahusika angefunguliwa na kesi mahakamani, sio kumfukuza tu. Sasa kafukuzwa atalisha nn familia yake? Alaf mnataka ujambazi na wizi uishe nchi hii wakat wenye maskills ya kuua na kutumia silaha ndo hao mnawafanyia ivo? Acha waingie kitaa tu kutafuta riziki. System imekaa vbaya sana, lakini bado kuna watu watakuja wata support haya yanayofanyika. Tanzania bado sana aisee!!!