Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,924
- 15,629
Hawa Iran washenzi sana aisee!
Waliwekewa vikwazo na Marekani ktk uuzaji wa mafuta, na wametakiwa wasimuuzie mafuta Venezuela.
Haitoshi wakapigwa mkwara na Trump, lakini kwa kuwa walishamjulia Trump kuwa huelewa lugha moja tu, ile ya Iraq (kutwangwa makombora ya balistiki), walimuahidi akitia pua kwenye mzigo wake (Iran) unaoenda Venezuela, watamzungumzisha lugha ile pendwa.
Dah, eti mzigo wa kwanza wa mafuta umewasili Venezuela salama kabisa.
=====