the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 334
- 489
Swali la John Marwa: Wabunge mmefanya kwa nafasi gani kuiwajibisha serikali ikiwa mpo wa chama kimoja bila upinzani
Eric Shigongo: "Mimi nimeenda bungeni nikijua kazi zangu ni tatu ya kwanza kutunga sheria ya pili kuisimamia serikali na ya tatu ni kuishauri serikali mi naona kazi inafanyika na serikali inasimamiwa kwa sababu matokeo yoyote mazuri ya serikali ni matokeo mazuri ya bunge linaloisimamia serikali vizuri kama hatuisimamii serikali vizuri matokeo hayawezi kuwa vile. kama tunausifia uongozi wa Rais Samia basi hizo sifa haziwezi kuwa mbali na bunge tuna bunge zuri tuna bunge imara tuna spika imara ambaye anasimamia vizuri"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025