mr egrose
Member
- Feb 9, 2014
- 14
- 8
Habari zenu wanajamii hasa kwenye hili jukwaa la afya.mimi Nina tatizo la jicho langu la kushoto mboni ya juu kutetemeka sana na inatokea mara kadhaa ndani ya dk 5. nikiongea hivyo naamini wengi washakutana na hii Hali walau mara kadhaa na wengi Huwa wanasema kutetemeka Kwa jicho la kulia Kuna maana yake kiimani na kushoto the same way la kushoto.
Lakini kinachonipa wasi wasi ni kwamba Sasa unaenda mwezi wa pili huu Bado nakutana na hili tatizo,hata kama wanasema sijui bahati ama utapata kitu sijui😂😂 hiyo ni kiiman lakini Mimi sina aman tena maana miezi miwili syo mchezo.
Jap haliumi Wala halisumbui chochote na linaona vizuri tu lakini Mimi naingiwa na hofu isijekuwa ni tatizo linajijenga taratibu halafu nikaliendekeza badae likaniletea shida.naombeni msaada wenu katika hili kama Kuna mtu ana experience ama utaalam na hili tatzo basi anisadie.asanten sana Wana jamii.🙏🙏