Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,225
Asante mkuu, Itakua tayari nimedukuliwa nini? Maana kuna kipindi fulan halotel waliniambia simu yangu imedukuliwa.Restore simu yako faster unaenda kulia sio mda mrefu afu punguza kuzurura mtandaoni kila unachokiona umeinstall
Developer option ipo Off mkuuOooh ingia kwenye settings search developer itakuja developer option then turn it off hii ndo shida app ya sasa developer option iwe off
Asante mkuu, bas kesho niende ofisini kwao tu, yawezekana itakua hivyoLabda wanataka wakusajiri wenyewe kwa hyo online banking alafu wanakupa username na namba ya siri then ukija huko unaweka tu na kuingia binafsi sna uzoefu na NMB but nilikuwa na NBC na nilitaka nitumie app yao ikwa inazngua but siku nilivyowaendea nikawauliza na wakanipa form na kujaza taarifa zangu nulivyofika home wakatumia email yenye username yangu na nikafuata taratibu walizoniambia kwenye hyo email so mpka leo natumia app yao na pia kwenye site na kufanya miamala so waweza tembelea hao nmb wanaweza kukusaidia.lakini ngoja wataalamu waje
Online banking ni kipengele kingine wala hakihusiani na nmb appLabda wanataka wakusajiri wenyewe kwa hyo online banking alafu wanakupa username na namba ya siri then ukija huko unaweka tu na kuingia binafsi sna uzoefu na NMB but nilikuwa na NBC na nilitaka nitumie app yao ikwa inazngua but siku nilivyowaendea nikawauliza na wakanipa form na kujaza taarifa zangu nulivyofika home wakatumia email yenye username yangu na nikafuata taratibu walizoniambia kwenye hyo email so mpka leo natumia app yao na pia kwenye site na kufanya miamala so waweza tembelea hao nmb wanaweza kukusaidia.lakini ngoja wataalamu waje
Okay but app ya sasa hivi ipo sensitive with virus nilivyoona na kudukuliwa inshort ina security ya kutosha, all the bestDeveloper option ipo Off mkuu
Online banking ndo internet banking auOnline banking ni kipengele kingine wala hakihusiani na nmb app
Duh, bas ndo maana inaneletea haya,, kwa hiyo unanishauli Niki restore itakua vizuri?App yao mpya inaisajili simu kama simu ndo maana haitumi tena otp kila unapo log in. Kwa kujihami na hilo app haitaki simu iliyochezewa au yenye uwezekano wa kuchezewa mfano rooting . turn off developer optiion kama wadau walivyoshauri hapo juu
OK Asante mkuu... Hapo nimeelewaOkay but app ya sasa hivi ipo sensitive with virus nilivyoona na kudukuliwa inshort ina security ya kutosha, all the best
Kashapigwa na kitu kizito soon mtu analia wazee washafanya yaoRestore simu yako faster unaenda kulia sio mda mrefu afu punguza kuzurura mtandaoni kila unachokiona umeinstall
SawasawiaOnline banking ndo internet banking au
Du.. Nilisha wahi pigwa.. But halotel Tanzania wakanisaidia...Kashapigwa na kitu kizito soon mtu analia wazee washafanya yao
Zimasimu yako tafuta ndoo ya Lita 20 jaza maji weka simu yako humo kwenye maji kwa dakika 10 kisha toa simu iwashe bonyeza app ita-operate vizuri kabisaDeveloper option ipo Off mkuu
Nenda NMB wakakurekebishie wewe upo wapi kwani mda HUU?Du.. Nilisha wahi pigwa.. But halotel Tanzania wakanisaidia...
Asante mkuu, Kufika NMB kuna kilometers kama 15 hivi, inabidi nipange tu ratiba kesho niendeNenda NMB wakakurekebishie wewe upo wapi kwani mda HUU?
Yeah nenda hapo onana na jamaa anaitwa Emma atakuwekea sawa mwambie Dan ameniagiza nije unirekebishie hii appAsante mkuu, Kufika NMB kuna kilometers kama 15 hivi, inabidi nipange tu ratiba kesho niende