Shida hapa itakuwa nini kwenye app ya NMB Mkononi

Mdeke_Pileme

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,596
2,225
Habari wana jukwa!!!

Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen..

Je, Shida itakua nini hapo?

Nimeamua kuyaandika haya maneno kwa sababu nimeshindwa kupiga screen shot, app yao imeblock kupiga screenshot
👇👇👇

Screenshot_20230803-194342.png
 
Labda wanataka wakusajiri wenyewe kwa hyo online banking alafu wanakupa username na namba ya siri then ukija huko unaweka tu na kuingia binafsi sna uzoefu na NMB but nilikuwa na NBC na nilitaka nitumie app yao ikwa inazngua but siku nilivyowaendea nikawauliza na wakanipa form na kujaza taarifa zangu nulivyofika home wakatumia email yenye username yangu na nikafuata taratibu walizoniambia kwenye hyo email so mpka leo natumia app yao na pia kwenye site na kufanya miamala so waweza tembelea hao nmb wanaweza kukusaidia.lakini ngoja wataalamu waje
 
Asante mkuu, bas kesho niende ofisini kwao tu, yawezekana itakua hivyo
 
Labda wanataka wakusajiri wenyewe kwa hyo online banking alafu wanakupa username na namba ya siri then ukija huko unaweka tu na kuingia binafsi sna uzoefu na NMB but nilikuwa na NBC na nilitaka nitumie app yao ikwa inazngua but siku nilivyowaendea nikawauliza na wakanipa form na kujaza taarifa zangu nulivyofika home wakatumia email yenye username yangu na nikafuata taratibu walizoniambia kwenye hyo email so mpka leo natumia app yao na pia kwenye site na kufanya miamala so waweza tembelea hao nmb wanaweza kukusaidia.lakini ngoja wataalamu waje
Online banking ni kipengele kingine wala hakihusiani na nmb app
 
App yao mpya inaisajili simu kama simu ndo maana haitumi tena otp kila unapo log in. Kwa kujihami na hilo app haitaki simu iliyochezewa au yenye uwezekano wa kuchezewa mfano rooting . turn off developer optiion kama wadau walivyoshauri hapo juu
Duh, bas ndo maana inaneletea haya,, kwa hiyo unanishauli Niki restore itakua vizuri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom