Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,171
- 26,138
Mashirika haya NSSF na PSSF wanadai michango kutoka kwa waajiri kwa nguvu ya sheria.
Tena michango hii ni kama kodi, usipolipa kwa wakati kampuni, tena wakurugenzi wa kampuni.
Hili limekaa upande mmoja maana wanachama wanapata shida mara nyingi kulipwa mafao yao.
Mara kikokotoo, mara subiri.
Mara nyingi kama si zote, fedha za wanachama zinachezewa na kuliwa kama kwenye miradi ya rushwa kama ECO VILLAGE.
Sheria ibadilishwe, mashirika haya yashtakiwe wanaposhindwa kumlipa mwanachama ndani ya mwezi mmoja wa kustaafu.
Mawakili wa kujiyegemea, TLS, changamkieni hii tenda.