mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 425
Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheria
Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheriaView attachment 3082157View attachment 3082158
HakikaPenye nia ipo njia.
Kama ni kweli vilipiganwa vita vitakatifu.
Kama hivyo imekuja njia yetu bado katiba, CCM na hata ya utekaji.
Nayo tutafika tu!
Hakika
Bado katiba na kuondoa utekaji
Hakika SSH is doing the right job tuendelee kujipa mudaTutafika tu.
Sijakuelewa, mawakili watapatikana vipi? au tunaanza tena bar interview kama zamaniRasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheriaView attachment 3082157View attachment 3082158
Ni step ya kuivuruga kama sio kuiua kabisa TLS, watajazwa vibaraka wa CCM humo, na hii strategy kuna member aliisuggest humu kpnd mwabukusi kashinda uraisi wa TLS
Mawakili wasomi hamuwezi kufanya namna mkalipwa fidia hapanaenda kuchonga muhuri wangu, washanilia mno hela hawa mbwa
Sawa, tukafute na mitihani ya CPAWe unatazama siasa tu haujui hiyo school of law inapotezea watu muda
Sawa, tukafute na mitihani ya CPA