Replica JF-Expert Member Aug 28, 2017 1,686 8,921 Sep 11, 2024 #1 Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
Trimmer JF-Expert Member Apr 25, 2014 2,493 4,130 Sep 11, 2024 #2 Ummy Mwalimu bado ni waziri wa Afya?
S Sanze M JF-Expert Member Jul 20, 2021 4,141 8,603 Oct 31, 2024 #3 Ni kweli hii sheria imeanza kutumika? Je inakatwa kwa kiasi gani? Je itatumika kwa familia nzima ya mume,mke na watoto au ni kwa mtu mmoja mmoja?
Ni kweli hii sheria imeanza kutumika? Je inakatwa kwa kiasi gani? Je itatumika kwa familia nzima ya mume,mke na watoto au ni kwa mtu mmoja mmoja?
Bulamba JF-Expert Member Sep 17, 2011 13,781 13,075 Jan 12, 2025 #4 Replica said: Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika. View attachment 3093106 Click to expand... Naomba kujua aina ya vitita vya bima ya afya kwa wote au vyote vitakuwa sawa?
Replica said: Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024. Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika. View attachment 3093106 Click to expand... Naomba kujua aina ya vitita vya bima ya afya kwa wote au vyote vitakuwa sawa?