Sheria ingeruhusu, Olympic ijayo ningejipeleka, kumbe kuna hadi mashindano ya kutembea

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
18,999
45,684
Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30.

Hadi kutembea ulikuwepo
Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa miaja ya 2000,

Leo hii kuna wakina mama kila jumapili wanatembea kwa miguu toka mbagala au gongo la mboto kwenda Kawe kwa mwamposa kuombewa,go and return on foot.

HUko kijijini kwetu Kizuranimba nawafahamu watu wanaenda mpaka Burundi kwa miguu,

Tunafeli wap kama Raifai?Wakenya wanarucheka sana huko nitandaini na kwenye Luninga sheria zibadilishwe kuwe na washiriki binafsi bila kupitia kamati ya Olympic ya Bwana Philbert Bayi,hajui kusort

Umeona style na spidi ya kutembea kwenye Olympic ? Ile speed ni Kali hata mtu wa jogging unaweza usitoboe....Watanzania wanadhani ni kitu rahisi kushiriki Olympic...ingekuwa rahisi basi watu wengi Toka pande zote duniani wangeenda...naenda kasome qualifications za huko mchezo wa kutembea and how to get qualifications
 
Kenya mbona wanakuja na medali bana,nikifanya nazoezi ya kutembea mwaka mzima siwezi feli
 
Serikali iwekeze sana kwenye masumbwi tutafika mbali.

Ukiangalia vijana kama kina Mwakinyo wako poa sana japo hali za gym zao si nzuri, serikali ikiwekeza kwenye ndondi tutafika mbali, mpira umetukataa sio suala la pesa.

Hata US wana uchumi lakini wmejifahamu mpira si wao, wamewaachia Europe.
Mpira sio wao kwamba hawana ligi ya mpira au marekani sijui mchezo gani hauna influence
 
Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30.

Hadi kutembea ulikuwepo
Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa miaja ya 2000,

Leo hii kuna wakina mama kila jumapili wanatembea kwa miguu toka mbagala au gongo la mboto kwenda Kawe kwa mwamposa kuombewa,go and return on foot.

HUko kijijini kwetu Kizuranimba nawafahamu watu wanaenda mpaka Burundi kwa miguu,

Tunafeli wap kama Raifai?Wakenya wanarucheka sana huko nitandaini na kwenye Luninga sheria zibadilishwe kuwe na washiriki binafsi bila kupitia kamati ya Olympic ya Bwana Philbert Bayi,hajui kusort
View attachment 3072484
View attachment 3072484
Hahahahaha umenikumbusha kipindi hicho wasanii walitembea sna kwa miguu kwenda studio ..

Kuna mwana alikua anatoka ilala anakuja kwa Joackim kurekodi
 
Umeona style na spidi ya kutembea kwenye Olympic ? Ile speed ni Kali hata mtu wa jogging unaweza usitoboe....Watanzania wanadhani ni kitu rahisi kushiriki Olympic...ingekuwa rahisi basi watu wengi Toka pande zote duniani wangeenda...naenda kasome qualifications za huko mchezo wa kutembea and how to get qualifications
Kama tunataka kushinda na kushiriki michezo mingi ktk Olympic, basi michezo Mashuleni iwe kipaumbele cha Taifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom