Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,570
- 4,656
Hapo vip!!
Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu.
Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa.
Na je kwenye ile kanuni kuna kipengele kinachomlazimisha mgeni atoe taarifa kwa muda fulani kabla hajafika uwanjani?kama hamna Simba yupo sahihi..
Je yanga wao hawajui hiyo sheria ya mgeni kuwa na haki ya kufanya mazoezi...
Na kama hakuna muda maalum ulioainishwa kisheria maana yake Simba yupo sahihi kwasababu anaweza kutoa taarifa hata akiwa hapo getini..
Tatizo layanga wameharibiwa na siasa na wanashiriliana na wanasiasa uchwara wasiojielewa na kujitambua ndio wanaowapoteza yanga.
Kama kune yule jamaa aliyejiandika kwenye mawe eti yeye atakuwa rais ndio anaipoteza yanga hajielewi.
Mpira na siasa ni maadui wakubwa sana tena sana.