Sherehe za CCM zadoda , wananchi wazipuuza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
127,964
244,568
Kwa siku kama ya leo miaka iliyopita ilikuwa ni pilikapilika kwa wananchi na wanaccm katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa chama hicho kikongwe kinachosemekana kuzaliwa 5 february 1977.

uchunguzi wangu umebaini kwamba wananchi wengi wamepuuza sherehe hizo , huku wengi wa vijana wakiwa hawajui hata tarehe ya kuzaliwa kwa chama hicho iliyokuwa siku ya kitaifa miaka kadhaa iliyopita .

My Take - Umaarufu wa ccm umepotea kabisa miongoni mwa wananchi , hii ni dalili ya chama kufa kifo kibaya sana , Shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kujibu maombi ya wengi .
 
CCM ilishajifia kitambo mkuu...basi tu kwa sasa anaibeba Mapadlock, ndo maana hata yeye kwenye kampeni hakuthubutu kuwambia wananch waichague ccm kwa kuwa anafaham vyema hakuna mwenye time na hilo limzoga (ccm).
 
CCM ilishajifia kitambo mkuu...basi tu kwa sasa anaibeba Mapadlock, ndo maana hata yeye kwenye kampeni hakuthubutu kuwambia wananch waichague ccm kwa kuwa anafaham vyema hakuna mwenye time na hilo limzoga (ccm).
nakubaliana na wewe .
 
Jana Katibu Mkuu alionekana Singida akishiriki kupaka jengo lao rangi kama sehemu ya maadhimisho. Anyway, kufuatilia sherehe za CCM is something one will do last in life.
 
Mtazungusha sana mikono
 
Ukiona watu siku hizi wakienda kwenye vikao vya chama wanabeba mashati na vilemba kwenye mabegi ili wakavalie ukumbini no dalili ya kuona aibu.
Ni sawa na wachawi huwezi kuwaona mchana kweupe wamepanda fisi au ungo kwani no aibu katika jumuia ya wastaarabu
 
Subiria MIPASHO ya mwenyekiti na vijana wake wakiwemo wale wa TOT hapo kesho NAMFUA.
 
Dawa yenu nikuwakAtia kubeneazi tuu na kuwavua
 
Sherehe ya marehemu inayofana ni arobaini tu na siyo kumbukumbu chama kimeshajifia usishangae kutokufana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…