Shemeji yangu ananilaumu sana kwenda kwake na Mchepuko Wangu

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
41,140
101,777
Shemeji yang nnaemzungumzia ndie yule niliwai mzungumzia siku moja humu jf kwenye Huu Uzi.


Ni kwamba wiki mbili zilizopita alikuja kupata msiba wa mama ake mzazi uko mkoani.
Sasa juzi nikiwa kwa Mchepuko Wangu mama J Akanambia kwamba shoga yake uyo kawasiliana nae MDA wowote anarud toka msiban, akifika apa aibu yake Ni balaa maana hata rambi rambi hakumtumia.

Nikamwambia iyo aibu na Mi pia inanihusu, mi mwny sijamtumia rambirambi yake tangu tumepata taarifa ya msiba wake, akifika nsije jikuta nashindwa hata kumtizama usoni.

Basi tukakubaliana tumtumie Iyo rambirambi yake kesho ila akaomba Kwasababu ya Lile suala lake la kutunza mtaji wa duka, anaomba nimlipie rambirambi yake.Nikasema sawa, kesho saa 4 asbh nikumbushe.
Basi tukaagana nikarud kwangu ,(Hatukufanya).

Sasa nmefika kwangu bado mapema kabisa (saa 3 usiku) ikabidi nimtumie mfiwa rambi rambi yake kwa NMB MOBILE maana kesho nkahisi Naweza kua bize Sana nikasahau tena.
Nmemaliza kumtumia TU nikaona ananipigia simu na kunishkuru, nikamfafanulia kwamba Ni muamala wa watu wawili huo Mimi pamoja na wifi yake(mamaJ). Akashkuru Sana.

Kisha Akanambia kwamba katumiss Sana kesho yake alfajir ataanza safar ili awasili mjini na Basi la kwanza kabisa mida ya saa 9 mchana maana msiba umeshaisha na pamemchosha uko kijijini.
Kwaiyo anaomba nije nimpokee stendi nimpeleke kwake.
Nikasema "sawa Haina shida"

Sasa JANA Niko kazin Saa 4 asbh mamaJ akaniapigia sim kunikumbusha kutuma ile rambirambi yetu.
Nikamfahisha kwamba nishatuma tayar na nmewasiliana nae yuko safarini mda huu anarud. Akafurahi

Ila nikamfahamisha kwamba mtu mwnyw kaniomba nikampokee stendi, tatizo MDA alosema Basi linafika nikampokee ntakua bize nashusha mzigo kuna gari inaingia saa 8 mchana wa leo hii.
Na Kwasababu nishazingua mwanzoni Ishu ya msiba wake kutokumsapoti ipasavyo ,Nmeona hadi aibu kumkatalia ombi lake hilo kwenda kumpokea.
Kwaiyo Nakuomba wewe ndo unisaidie kumfata uyo shoga yako.

Mchepuko akasema,
"Haina shida basi, Endelea na KAZI zako mi ntaenda kumpokea mwnyw nimpeleke kwake. Ila Sasa hakikisha ukimaliza KAZI zako unakuja kumuona, Mi mwnyw ntakua uko uko." Nikasema "POA"

Kisha nikampigia shemej yang kumfahamisha kua nmepata udhuru kdg MDA huo ila hakijaharibika kitu.
Atakae kuja kukubeba ni wifi yako mama j nishamfahamisha tayar.
Akakubali ila akasema nnavyokwenda kwake nisisahau kumbebea wine. Hajanywa kabisa kipind chote alichokua msiban. Nikasema "POA"

Nmemaliza shughuli zangu,
Saa 11 nmefunga ikabd nipitie duka la vinywaji vikali nibebe wine chupa 1 Kisha niende nayo uko kwa shemej yangu.

Saa 12 Nmefika nmemkuta shemej yangu Yuko anafanya usaf chumban kwake, kaja seblen tumesalimiana na MDA Si mrefu namuona Mchepuko wangu nae Ndo anaingia anasema alikuepo ila alifata vinywaji na vitu vya kupika madukan. Nikasema sawa.

Kachukua Baadhi ya bia kazitia kwny friji, nyingine kabakiza pale mezani tukaendelea kunywa.
Kisha yeye akabeba ya kwake kilimanjaro, uyo jikon anapika uku anakunywa.
Mwenzie nae akapewa ya castlelight yake, anafanya usafi uku anakunywa.
Nami nikapewa ya kwangu safari, nkaipiga mdg mdg uku Nikiwa naendelea kuangalia habar za vita ya Ukraine Kwny tv yake.

Haukupita MDA mrefu Sana,
Shemej yang kamaliza usafi wake,Mchepuko wangu nae kamaliza kupika. Kaleta nyama za kutosha na viazi vya kukaanga pale sebleni.
Basi wote tumejumuika pale kupiga Ngombe+viazi vya kukaanga na bia.
Uku stori za hapa na pale nazo zinaendelea.

Sasa ile round ya kwanza ya vinywaji ikaisha, Ikabd shemj yangu ampigie bodaboda wake aje nimpe Ela akalete vinywaji vingine.
Boda alipofika nikamweleza Mimi anibadilishie badala ya Safar aniletee HENKEN, ila Wengine wakasema Hamna mabadiliko.

Basi boda nkampa pesa afate vinywaji. Kweli Kurudi ila akasema vyote kapata ijapokua castlelight za shemeji kapata bia 2 tu badala ya 10.

Shemej yang akataka amrudishe boda akachek na baa zingine,
mamaJ akamshaur asimsumbue boda watakunywa wote iyo iyo Kilimanjaro yake haina shida.
Shemej Akasema hajawai kuinywa, anaogopa isije msumbua. Nami nikachangia kwamba asihofu iyo nayo ni softbeer Kama ilivyo Iyo castle light.

Basi tukaendelea na kinywaji,
Sasa hatukukaa sana zile castle lite 2 zikakata, Akaanza kupiga Kilimanjaro.
Ile Yuko Bia ya 3 TU tangu azianze kilimanjaro Akaanza vituko, akawa muongeaji Sana. Mara aje anikalie mapajani kwangu, Mara atusimulie story za uko msibani kwake. Ikawa Tunamuenjoy TU anavoongea bia zimemkolea kichwani.

Basi ile kanikalia mapajani
mamaJ Akanambia ebu muonjeshe uyo na henken kidg tuzidi kumuenjoy. Nikasema sawa.
Kweli nikampa mafunda kadhaa, akaanza kusema anajihisi joto.

Mama j kimasihara akamwambia "Kama unajihisi joto vua tu ilo dera lako",

Shemej Akasema
"Aah Sitaki, nikivua bwana ako akinichungulia akanitamani je?'

Mimi Nikadakia,
"Uliona wapi mtu mzima akamchungulia mtu mzima mwenzie?
Wee Mi nakuangalia TU afu nakuacha Apo apo. Atakae kutaman ni yule bwana ako tu anaekutomber"
Wote tukacheka.

Mama j akadakia,
"Kwani kumtamani shemej yako nayo ni shida? Mi ata ukimtaman mbona akuna shida. Nakushikia tu paja Umkune shosti yangu " uku anacheka na Wote tukacheka sana pale.

Shemej akajibu
"Aya shaur zenu mi navua apa"
Na kweli pale pale kanikalia mapajani shemej kavua Dela lake na kulitupa pembeni, kabakiwa na taiti ndefu na sidiria TU.

Basi tukaendelea kupiga bia kanikalia mapajani,
Kuna MDA Sasa akabanwa mkojo, nikamwambia mama j amsindikize akakojoe.

Mama j kambeba pale kampeleka chooni Kisha karudi, MDA SI mrefu karudi toka chooni ila tight yake Kama imeloa mikojo kaikojolea akanikalia Tena pale mapajani akaendelea kupiga bia.

Hali ile ya kuloa mikojo yake amenikalia nikawa sijifeel confortable, nikamwambia mama j akambadilishie mwenzie nguo zile.
Kweli akamtoa akampeleka chumban kwake.
Akamvua ile tight na akambakisha na chupi Kisha akamfunga vitenge viwili Chini na juu na kurud nae seblen, tukaendelea kupiga bia uku kanikalia Kama mwanzo.

Tumepiga bia imefika MDA akawa anataka kuninywesha bia kwa mdomo wake, nikaona this is now too much.
Nikamtoa pale mapajani nisije mvunjia heshima mpenz wang, nikamuweka pemben.

Sasa ile kitu kumtoa Ni Kama hakuipenda, basi akawa msumbufu Sana na Anatumia Nguvu sana kujivuta apande mapajani Tena mpk nikanimwagia chini pombe yangu.
Nikaona Ujinga huu.

Mama j nae nkamwambia aje amtoe mwenzie nikaona hatoi ushirikiano, pombe zishampanda kichwan Hana Nguvu Tena anarembua tu.

Ikabid nimwambie mama j uyu tufanye mpango akalale MDA sio rafiki na hizi pombe zinampeleka vibaya. Tukiendelea kunywa nae Hivi, ataendelea kubugia bia afu ataamka vibaya ukzngatia bado anauchovu wa safari. Afu kichwa chake kibovu.

Basi kweli mama j akainuka kamshika bega la kushoto, nikamshika bega la kulia tumpeleka shemej chumban kwake akalale.

Sasa ile tumefika kwny ngazi za dining tukatishe tuelekee chumban kwake tukamlaze, mama j nae akaishiwa Nguvu akakaa Chini anapumua mwingi.
Shemej nae kitenge keshabakiza cha juu tu, Cha Chini keshakidondosha chini pale alikoanguka mam j.

Ikabd nikomae hivyo hivyo mwnyw mpk nimefikisha chumban kwake nikambwaga kitandani. Akawa ananivuta mkono ili nisiondoke. Nikagoma.

Sasa ktk zile purukushani na kile kitenge Cha juu kikaachia akabaki na chupi na sidiria TU, sikujali Sana nikamzidi Nguvu nikambana mikono yake yote nikamkalisha kitandani akashindwa kufurukuta akatulia.

Basi nikatulia nae pale Kama dkk 20 hivi nmembana mpk akapitiwa usngz. Kisha nikamlaza kitandani kumfunikia na shuka. Na Nikarud seblen.

Uyu nae nmefika dinning namkuta bado kajilaza, ikabd nimzindue tuondoke. Akasema sawa.
Nikambeba nikampeleka kwny gar. Kisha nikarud ndani kuchukua vitu vyake.

Ile Nmefk seblen naskia mtu Kama anatapika kule chumban kwa shemej.
Nmefika chumban kwa shemej nmefungua mlango Hamna mtu, ila nikaskia saut inatokea chooni kwake.
Nikajua uyu keshaanza kurudisha chenji, niachane nae apambane na Hali yake Ngoja niende zangu kwangu.

Basi ile tumeondoka pale, nikiwa naendesha Simu ikawa inaita Sana mfukoni.
Nikapokea wife uyo anauliza Niko wapi, nikamwambia Niko njiani nakuja, akasema sawa. Nkairudisha mfukoni

Mara nyingine tena simu ikaita,
nikahs Ni yale Yale ya wife, nikaipotezea maana najua nikishamfikisha uyu kwake Ni Moja kwa Moja nyumban kwa wife Sina MDA wa kupoteza tena. Kweli nikaendesha mpk kwa mama J.

Sasa ile nmefika getini nikashuka nikafungue lile geti, ikabd nitoe Simu niwashe tochi kumulikia kuona ile lock ya geti dogo ili niweze kufungua getting kubwa.
Ndo nikakuta missed call 3 za shemej yangu kapiga sana.ikabid nimpigie.

Kupokea anapiga kelele anakufa,
"Shemej nakufa Mimi, shemej niokoe nakufa, wataniua hawa. Shemej nakufa mimi" uku naskia saut Kama anatapika.

Duh! Machale yakanicheza sana ukzngatia mda naondoka nilimuacha chooni anatapika afu nikapotezea. Ikabd nighaili kufunga lile geti nirudi kule nilikotokea kujua Nini kimempata.

Sasa nmefika nikashuka nikaingia ndani mpk chumban, nikamkuta Kakaa chini vile vile akiwa chupi yake pamoja na sidiria kalala chini kwny matapishi mengi aliyojitapikia.

Basi nikamuonea huruma sana.
Ikabd nimuinue pale nimfute matapishi yake na kitenge chake kilikua chini Kisha nikambeba na kumlaza kitandani. Ile nmemlaza Niko natafta shuka nifunike namuona mama j nae kasukuma mlango anataka kuingia mle chumban.

Nikamwambia asimame kwanza pale pale mlangoni asubir nifute matapishi Yale Ndo apite.
Nikafuta Tena pale na kitenge Kisha nikamwambia Mama J apite.
Mama j Kaingia na Kaenda Moja kwa Moja kwa mwenzie. Akawa anamuuliza Nini kimempata.

Mimi nikaenda kukamua matapishi Yale chooni na kurudi kufuta na nikakausha kabisa eneo lile, maana zile tiles zinateleza Sana nikiacha majimaji pale akaja kuamka na Hangover za pombe kichwani achelewi kuvunja kiuno pale pale sakafuni.

Nmemaliza kupakausha nkarud nimstue uyu tuondoke, nkaona Mama J keshaacha kumuongelesha tena shosti yake nae kauchapa usngz pale pale wameangaliana usoni Kama mabeberu.

Wazo likaniijia Bora niwaache TU wote walale pale niende zangu kwangu, mana nishapoteza MDA Sana pale ukzngatia wife nishamwambia Niko njian nakuja.

Basi nikapanda kitandani, nikawalaza wote vizur. Mama j nikampunguza Baadhi ya nguo zake za kubana sana.
Kisha nikawafunika wote shuka.
Nikarudishia milango yao nikaondoka zangu kwenda nyumbani kwangu.

Nmeingia home saa 7 na Nusu usiku, Moja kwa Moja kuoga na kwenda kulala.

Sasa asbh ya leo nmeamka km kawaida kwend kazin ila ikabd breki ya kwanza niende kule kwa shemej yangu niangalie hawa watu wangu wa Jana wameamkaje.

Saa 12 asbh nmefika pale bado wote wameuchapa usngz ila naona wamelala salama salmin, nikaona hawa watanipotezea mda.
Ikabd niondoke pale, nikaenda bucha la jirani nikachukua kilo ya nyama nikaileta nikaiacha jikoni Kisha nikaondoka zangu kuelekea KAZIni. Wakiamka watachemsha ata supu wanywe.

Kwenye saa 3 asbh nikiwa kazin, wazo likaniijia Hawa watu wangu vipi, ikabd nipige Simu zao. Wote Hazipokelewi.
Machale yakanicheza kua usikute mpk MDA huu hawajaamka.
Ikabd niwaage madogo dukan natoka kdg, ili niende kule kwa shemej nijue imekuaje Niwaamshe.

Basi nmefika kule Moja kwa Moja chumban kwa shemej, nakuta kalala peke yake. Namuuliza mwenzie Yuko wapi Anaongea upuuz mtupu.
Ikabd niende jikon nimchemshie ata supu ya nyama anywe apate Nguvu.

Kufika jikon nikakuta ile nyama yote ishachemshwa supu, na Kuna bakuli na kijiko vimetumika.
Moja kwa moja nikajua Ni mama j uyu ndo atakua kachemsha kisha kanywa supu. Kaondoka

Ikabd nipashe ile ilobaki Kisha nimpelekee na uyu shemej nae anywe.
Nikafanya hivyo Kisha nikaweka kwny tray na kumpelekea chumban kwake.
Nikapanda kitandani, Nikamwamsha nikamkalisha vizur na kuanza kumnywesha supu, akanywa mpk MDA flan akasema nimuache anywe mwnyw. Basi Akaendelea kunywa.

Baada ya kupata Ilo gepu ikabd nimpigie mama J nmuulize Yuko wapi, akanambia keshafika kazin kwake na supu ile kachemsha yeye.
Anashkuru imemsaidia kwa maana aliamka na hangover balaa.
Nikamwambia ndo Niko pale na shoga ake nampa supu bado pombe ziko kichwani, akasema uyu kichwa chake bado afu Jana ake kachanganya bia ndo maana zimemgeuka.

Basi nikiwa naendelea kuongea na mama j kwny Simu, shemej akamaliza kunywa supu yake, kapeleka vyombo jikoni karudi kaelekea kwny dressing table kajitizama kwny kioo Kisha kavua chupi na sidiria katundika kwny enga na moja kwa Moja kaingia chooni kuoga.

Nikiwa bado kitandani bize naendelea kupiga story na mama j Kwnyw Simu khs vituko vya usiku wa jana, uyu katoka kuoga karudi uchi mpk kwny kabati lake kachukua taulo na kujifuta. Kamaliza Kaenda tena kwny dressing table kakaa kwny kistuli kidg kanigeuzia kalio upande Wangu na kuanza kujipaka mafuta.

Sasa ile nmemaliza kuongea na mama j kwny Simu ikabd nimsemeshe uyu.
"Hivi shemej wee unajiamini Nini kuacha ilo kalio lako wazi opposite na mimi na unajua tuko wawili tu humu chumbani?"

Akasema,
"Kwani tatizo liko wapi?
Kwanza Wee fala Kama Ni kunichungulia kiukweli Mbona umeshanichungulia sana. Ungekua wakunitomber ungeshanitomber sana" uku anacheka sana.

Akaongeza,
"Yaan apa Sina Tena Siri Wala uchi wa kukuficha tena wewe . Wee ukitaka kuangalia angalia tu, usipotaka kuangalia shauri zako" uku anacheka Tena na kuendelea kujipaka

Nikamwambia,
"Unamaanisha nini meji"

Akasema,
"Unajishasaulisha kipind kile umeniokoa club na wale wahuni ulinichungulia Sana?, ukaninawisha mkojo na ukanishika shika sana uku chini, Jana usiku nayo umenichungulia Sana mpk kunakucha nmeamka nmejikuta niko uchi"

Akaongeza
"Sasa eti nmelala uchi, asbh nmeamka uchi, afu sahv eti nijifanye nakuficha uchi. Si utakua uchizi huo? " Wote tukacheka.

Nikamwambia,
"Kumbe ya siku ile yote unayakumbuka?
Mi nikajua ukumbuki chochote ulikua umelewa Sana siku ile."

Akasema,
" Wee mi ata nilewe vipi, Kuna vitu siwez kuvisahau. Ndo maana baada ya pale nilikua naona aibu Sana kukutafuta tuonane, utanichukuliaje"

Nikamwambia,
"Hakukua na haja ya aibu,ujue mi na Wewe tunaheshimiana Sana. Na Hakuna chochote ningekufanya au kukuchukulia shemej yangu"

Akasema,
"Kwakweli una Moyo wa ajabu sana sijawai ona, angekua mwingine asingeniacha salama siku ile."

Nikamwambia,
"Ukiwa na Mimi kua na amani kabisa"

Akasema,
"Amani ipo, ila sometimes wee nae sikuelewi elewi unakua unazingua sana meji"

Nikamuuliza, "kivipi?"

Akasema,
" Ntakwambia usjali, ila kwanza ile Wine yangu niliokuagiza Jana iko wapi?"

Nikamwambia
" Si tumeshakunywa yote ile Jana?"

Akasema,
"Wee acha zako izo, Jana tumekunywa bia TU. Afu bia Zenyewe mmeninywesha mikilimanjaro yenu michungu Kama Nini"

Nikamwambia,
"Aisee,Ni kweli kabisa tulikunywa bia tupu. Hivi Kumbe wee japo ulilewa unakumbukumbu nzur eeh?"

Akasema,
"Wee Mi nnakumbuka vizur Usintanie, wine yangu nnayokudai sijainywa kabisa. Naitaka sahv"

Nikamwambia,
"IPO kwenye gar ngoja nikufatie, Ila utainywa siku nyngn"

Akasema,
"Wee ifate mi nainywa Hapa Hapa, bado Niko fit"

Nikasema, "sawa" Kisha nikamfatia wine yake nikampatia.
Kufika Kumbe nae kajifunga kitenge kifuani Kaenda jikon kubeba glass na opener yake, kaja kafungua kamimina na kuanza kunywa kdg kidg.

Sasa MDA ule Simu za ofsin zikawa zinaingia sana. ikabd nimwambie mi naeda zangu ofsin apa kwnyw nmekaa sana, mda wa kazi huu. Nilikuja TU kukujulia Hali yako.

Akaja kunikalia mapajan Akitaka kuninywesha wine,
Nikamwambia
"usinipe iyo kitu bhana, sijatia chochote tumbon, ntatapika bure apa"

Akasema,
" Basi tulia nikupe dukuduku langu, nikuchambe Sasa mwanaume wewe"

Nikamwambia,
"Nakusikiliza, ila usummarize Sasa MDA wangu sio rafiki"

Akasema,
"Enhe, Nielezee wee Cha kukaribisha apa kwangu, unajua nmetoroka kijijini kwa ajili yako, ukaja na mama j maana ake nini meji yangu? "

Nikamwambia,
"Si nilipata udhuru meji yangu na taarifa nikakupa. Au kulikua na ubaya shoga ako mama J kukufata? "

Akasema,
"Hakukua na ubaya wwt mbona, ila pia Nilivokupigia jana usiku uje. Nayo kwann ulikuja na mama j wako?"

Nikamjibu,
"Nilikuja nae NDIO, maana nilkua sijamfikisha ndan kwake na Wewe ukanipigia nije Unakufa.ukzngatia nilikuacha unatapika ikanilazimu kugeuza gafla nikarudi pale pale"

Akasema,
"Sawa, ila wee unaona ulichofanya Ni halali?"

Nikamwambia,
"Kwani una tatizo lolote na uyo WiFi yako?
Au Kuna kitu Cha tofaut ulitaka kuteta nami? "

Akajibu,
"Amna hatuna tatizo lolote, ila ni Basi tu mi sijapenda "

Nikamwambia,
"Basi ngoja niende kazin kwanza, nikipata nafas ntarud Tuongee vizur"

Akasema "sawa" nikaaga na kuondoka zangu kazini.

Punde Nmefika KAZIni, kuna kaz naifanya ikaingia sms ya shemej yangu.
" Umefika salama?'

Nikamjibu, "ndio meji"

Akasema, "Basi sawa, SEMA sijapenda ulichofanya"

Nikauliza ,"kipi Tena"

Akasema,
"Nirudie Mara ngapi sasa, si vile nshakwambia ulikuja nyumban na mama j"

Nikamwambia,
"Basi nisikukwaze mej yang, ntakuja jion Tuliongee vizur"

Akasema,
"Ata ukija jion, hutonikuta"

Nikauliza,
" kwann meji, inamaana unataka ubaki na ilo dukuduku lako mpk lini Sasa"

Akasema,
"Hamna, ntaenda kwa rafiki yako.
Nishadanganya tayar nmeanza Safar leo asbh. Kwaiyo kanambia jion leo lazima nifikie kwake."

Nikasema,
"Basi haina shida, ntakuja uko uko kwake tuyajenge meji yangu"

Akasema,
"wee uko usije, nisubir mpk nkisharud kwangu. Kisha ntakufahamisha uje"

Nkasema "sawa"
Basi ikawa imeisha hivyo.

ILA SASA MWENZENU sina mda Ndo Nmerud tena nmekaa ofsin kwangu.

Nmejikuta Nna MASWALI mengi sana Kichwani mwangu juu ya Anacholalamikia cha msingi uyu shemej yangu Ni kipi?

1. Kama hakuridhishwa shoga yake kwenda stendi kumpokea mbona hakukataa pale pae nilivomwambia anakuja?
-Mbona taarifa nilishampa mapema kwamba nna udhuru na akaukubali.
-Haoni nimemthamini na kumjali Sana ata kwa Hilo la kufatwa stendi?

2. Kama hakuridhishwa na Mimi kurudi na mama j usiku ule mbona akunambia nisirudi nae.
-Yeye Ndio alilalamika mwnyw kaumwa gafla, ningefanyaje sasa Zaid ya wema ule niloufanya usiku ule?
-Mi Kulala pale nimuangalie isingewezekana kabisa, na yeye kulala peke ake isingewezekana kwa Hali ile.

Inamaana nilikosea Sana kumlaza na mwangalizi usiku ule?
-Tena mwangalizi mwnyw ni jinsia sawa na yeye,na pia ni mtu waliezoeana.

3. Inamaana kashindwa hata kuthamini ule wema wangu mwingine usiku wote ule pamoja na asbh.
-Mtu mzima sijalala hata usngz mzuri.
Nmeacha shughuli zangu, nafanya kuzunguka tu toka uku nenda kule. -Mtu mpk nmefikia nmedeki matapishi yake,nmewaletea mboga, nmeangalia usalama wao n.k.

Ina maana Malipo yake ndo vile kunilaumu namna ile?

4. Kama labda alikua na ugomvi pembeni na mama j
-mbona niliona walikunywa pamoja na wakawa wanafurahi bila chembe ya chuki kwa namna yoyote ile?

5. Kama hakuridhishwa na mama j kulala pale kwake.
-Mbona sio Mara moja mama j anakwenda kulala pale?
-Mbona na yeye pia siku Moja Moja huja ushinda na kulala kwa mama j?

AU NDO VILE SHEMEJI YANGU NDO WALE,
"SHUKRANI YA PUNDA NI MATEKE"

Ushauri wenu tafadhal, Nawasilisha
 
Kabla hawajaja kukupa muongozo,

Shemeji anataka mashine, sasa kazi kwako mkuu.

Ila nlivosoma nimejiuliza sana, Mzee unatoka na wanawake wa aina gani? These kind of women binafsi nimewaona cheap sana, cheap is expensive. Panda bei mkuu, hela unayo, usije kufa kwa sababu za kuepukika. Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shemej yangu kwa rafiki yangu yule,siwez kabisa kutembea nae mkuu
 
FB_IMG_16473595277905493.jpg
 
Huyu mrembo lazima akupe game, ni suala la muda mkuu. Utashangaa tu, mbwembwe nyingi mwisho anakutengea. Kama hutaki game mkatae mapema. Unaweza jaribu mahusiano yako mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu inakuaje una mazoea ya kupitiliza namna hii na mashemeji zako. Watu tuko tofaut Sana asee Mimi shemeji angu siwezi kabisa hata kumkalia kwe hayo mapaja naanzaje Yani.

Kifupi Ni kwamba huyo dada kashautamani mshedede wa rafiki ake ameona mwenzake anafaidi Sana kuwa na wewe so nae anataka ampiku ili apate vyote anavyopata mwenzake.

Ushauri wangu acha kabisaa mazoea na huyo kibwengo atakudharirisha buree
 
Back
Top Bottom