MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,635
Mwanazuoni wa kiislam Sheikh Swed Twaibu akiwa TBC akielezea katiba ya BAKWATA jinsi ilivyoshirikisha waislamu wote wa Tanzania alisisitiza kuwa waislamu wote nchini ni wana BAKWATA.
Pia alienda mbali zaidi na kusema kwa Tanzania hii hamna taasisi nyingine inayoruhusiwa au yenye mamlaka ya kufanya mambo ambayo tayari yameelekezwa na katiba kuwa yatafanywa na BAKWATA .
Kwa mtu yoyote yule hapa nchini ambaye ni Mtanzania na muislam automatically yeye ni BAKWATA.
Swali: Yapi majukumu ya Shuraa ya maimamu ya kina sheikh Ponda?
MAONI:
Dini nyingine zote nchini zinahitaji unifying body kama BAKWATA, sio dini moja taasisi Mia zinazofanya kazi moja.