Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 1,017
- 1,986
Sheikh wa Wilaya ya Nkasi, Sheikh Hadhi Daruweshi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Maridhiano katika wilaya hiyo, amesisitiza kuwa kushiriki katika uchaguzi ni jambo linalopaswa kupewa kipaumbele na kila raia mwenye umri wa kupiga kura.
Amesema uchaguzi si suala la kisiasa pekee, bali ni jambo ambalo pia limeelekezwa na kuungwa mkono katika vitabu vya dini, kwani linaendana na maadili ya haki, uongozi bora na uwajibikaji.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sheikh Daruweshi amewaasa wananchi wa Nkasi waendelee kudumisha amani, mshikamano na upendo wakati wote wa mchakato wa uchaguzi.
Ameeleza kuwa ni wajibu wa kila mtu kuhakikisha anatumia haki yake ya kupiga kura ili kuchagua viongozi wenye maono ya kuleta maendeleo kwa wananchi.
Credit:EDigital