Pre GE2025 Sheikh Ally Kadogoo: CHADEMA siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, CHADEMA ni chama cha kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upuuzi kabisa huu. Kuna sababu gani ya kujipendekeza badla ya kuelezea hoja zai?

Nani aliwaambia kwamba Waiskam ni mazombi kwamba hawatofautuani mawazo au itikadi?

Hayo ya Mwembe Chai kwa Waislam wanaojielewa kamer huwezi ukatumia kuwaghiribu.

Watu wanataongea ya Mwembe Chai kirahisi sana, hawajui hali iliyokuwepo pale. Mwembe Chai ingeachea vipi iendekee kwa yaliyokuwa yakiendekea pale hadi kufikia hatua ya kumchinja afande Musa? Mlitaka wachekewe?
 
Chadema ni chama chenye mlengo wa Kidini Bora hata ya CCM

Lazima uwe mpumbavu kupindukia kuamini kuwa Tanzania kuna chama cha kidini.

Kuna wanasiasa punguani ambao baada ya kuishiwa nguvu ya kupambana na wapinzani wao, ndio huishia na maneno ya kiwendawazimu na kusema, usichague CUF/CHADEMA/ACT, kwa sababu ni chama cha waislam/wakristo. Na uwendawazimu huu hufanywa zaidi na CCM, kwa sababu huko ndiko walikojaa punguani.
 
Nakubaliana na wewe
 
Haitaji hata kwenda shule Bro Chadema mara nyingi wanahusisha mambo yao ya kisiasa na Maaskofu na Viongozi wengine wa Dini na hichi chama kimeshapoteza Dira Tena hakina nguvu ni chama cha kikanda ,ukabila na Udini kama unachukia kusikia hivi basi chukia tu ila ukweli ndio huo

View: https://www.youtube.com/live/F_ZqyyaqL-4?si=biPyfe-WsRRM-bKS
 
Back
Top Bottom