Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,181
- 5,553
Picha: Feisal Salum 'Fei Toto'
Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza shauri hili huenda litasikilizwa majira ya saa 10 alasiri.
Sababu ikiwa ni mawakili wa Yanga SC kuwa na majukumu mengine ya usikilizwaji wa malalamiko ya Rivers United ya Nigeria dhidi ya Yanga.
Ambayo Rivers walalamikia vitendo Vuai to vya kiuanamichezo ambavyo wanadai kufanyiwa siku moja kabla ya mechi yao na Yanga uwanja wa Mkapa kwenye robo fainali ya kombe la shirikisho la CAF.