Shambulizi la bomu ktk mkutano wa Chadema chanzo chake ni propaganda kwamba ni chama cha Kikristo.

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
32,983
60,472
..hayo yalielezwa ktk kongamano la TLS kupinga utekaji na mauaji.

..kuna kipindi CCM walikuwa walipigwa propaganda kwamba Chadema ni Chama cha Wakristo au Wakatoliki.


..propaganda hiyo ilikuwa ni kali kwelikweli kipindi kile Katibu Mkuu akiwa Dr.Wilbroad Slaa.

..Sasa imetoka kauli kwamba kuna kundi la MAGAIDI liliamua kufanyia kazi propaganda hizo, na BOMU lilitupwa ktk mkutano ambao viongozi wakuu wa Chadema walikuwepo.
 
Back
Top Bottom