INAUZWA Shamba linauzwa

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,651
Shamba zuri tambarare ukubwa heka tano linauzwa
Shamba lipo maeneo ya kongowe kibaha eneo la saranga umbali km 10 kutoka barabarani. Kuna barabara ya vumbi magari yanafika.kuna reli ya umeme inapita Pia lipo jirani na mashamba ya mwekezaji billionea mdogo kuliko africa Mo Dewji
Ekaei tano za mwanzo zimeshayzwa millioni tisini
Bado heka tano zimebaki nazo ni millioni tisini
Eneo linafaa kwa uwekezaji. Ufugaji, kiwanda na kilimo
Contact 0658537153 au 0715289534
Kama uko interested
 
Muuzie huyo x2 aliyenunua ekari tano za mwanzo AMA mfuate MO mwambie unaenda kumpa pole kwa yaliyomsibu hivi karibuni halafu muuzie hilo deal. POVU RUKSA maana hiyo Milioni 90 Mhh
 
Hahaa sawaa

Kama unaweza njoo tubargain inashuka
Muuzie huyo x2 aliyenunua ekari tano za mwanzo AMA mfuate MO mwambie unaenda kumpa pole kwa yaliyomsibu hivi karibuni halafu muuzie hilo deal. POVU RUKSA maana hiyo Milioni 90 Mhh
 
Hiyo ikpo juu sana haka ukimwita mzee wa kufyeka (Mwamri) hawezi fua dafu hapo mkuu, nimejitoa. Hata enzi za JK ungepata tabu sana sembuse JPM?!
Umeona hapa mkuu
Heka mbili tu bei hiyo sababh iko pembeni ya lami...
Eneo inategemea liko wapi
Hili eneo ni diliView attachment 923380
Screenshot_2018-11-06-14-26-32.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom