SHAMBA LINAUZWA BOKO MAGEREZA

keydu

Senior Member
Jan 3, 2017
124
190
Shamba linauzwa Tsh 25M (milioni 25) ekari 1 lipo nyuma ya Gereza la Wazo hill (Machimbo) km 6 toka Barabara kuu ya Bagamoyo (Boko chama)
umeme umefika,Halijapimwa bado (halina hati)
Ni PM kwa maelezo zaidi pungunzo la bei unaongea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…