Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha Bei Imepungua

Chebbyy

Member
May 21, 2017
19
6
Shamba lililopimwa lipo kibaha, njia rahisi na fupi ni ya kupitia bagamoyo road ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo kuna barabara iliyochongwa vizuri, umbali ni kilometa 7 kutoka bagamoyo road kwenda shambani yaani kutokea baobab sekondari hadi shambani, shamba lipo kwenye barabara pia iliyochongwa vizur nayo.
Shamba lenyewe lipo wilaya ya kibaha, kata ya Saangani sehemu inaitwa Kidimu, shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kuanzia hekari 1 sio kwa kiwanja kimoja moja, na pia kuna huduma za msingi kama vile maji, hospitali, umeme na mengineyo, yani ni mji tayar na kuna wakazi wengi tuu.

Price: 5 million kwa hekari, Maongezi yapo kidogo sana.
Me ndio mmiliki hakuna dalali hapa, Kama upo serious Please

Call/Sms 0789361555

tapatalk_1501916282223.jpeg

tapatalk_1501916291972.jpeg

tapatalk_1501916298672.jpeg

tapatalk_1501916304702.jpeg
tapatalk_1501916310563.jpeg


tapatalk_1501916324945.jpeg
 
Una hati miliki ya shamba, maana lukuvi siyo wa mchezo mchezo kwa sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom