Hiyo biashara ya kizamani, weka bei ya kuanzia halafu ndo maelewano yaanzie hapo.Bei ni maelewano ndo maana nimesema kwa mawasiliano zaidi..........
Now you are talking, ngoja nizame chimbo, nitarudi.Ok.bei yake kwa ekari moja ni sh 800,000Tshs.
Ekari 2/3 unauza?Shamba lenye ukubwa wa ekari 10 linauzwa manispaa ya morogoro,sehemu inaitwa CCT karibu na kwa (RAS) mtu maarufu eneo hilo.kwa mawasiliano zaidi.
Phone no:+255756670101
Fanya hivyo pleaseMm siuzi.labda nimuulize jirani na mm
Eneo linaitwajeKuhusu umbali sijui exactly.but toka msamvu mpaka shamba ni muda wa saa moja hivi na dk kadhaa.gari inafika mpaka shamba