Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13
SHAMBA hilo linagusa Rami iendayo Morogoro.
SHAMBA hilo linaumeme Mkubwa wa Viwanda 33kv na Maji ya kutosha.
Linafaa kwa Viwanda au Shule na Uwekezaji Mkubwa zaidi kulingana na Mhitaji.
UNAKARIBISHWA MHITAJI
0715-011022