peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,253
- 23,937
Shaban sisi wananchi wa Hai tunakuhitaji sana Jimboni Hai na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025.
Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka weru weru mpaka Rundugai kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuitenfeneza.
Pili, kila kukicha kuna migogoro katika Chama chetu CCM katika Wilaya yetu ya Hai na hivyo hakuna maendeleo yanayofanyika na hata jengo letu la ofisi ya CCM wilaya ni kama gofu, na alihaidi kulijenga hakufanya kitu. Karibu sana Mhe. Shaban . Jimbo liko wazi 2025