JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,666
- 6,428
Police were forced to open fire after the protesters began marching towards Parliament where lawmakers were voting to pass the controversial Bill.
Source: Citizen Digital
Kwa hiyo unataka hao waswahili wa 255 nao waige yanayotokea huko Kenya?Waswahili wa 255 walishazimwa akili kwa moshi wa Mwenge, hawawezi kuthubutu kupinga chochote cha wasemaji wao kule Dodomer
Ukiambiwa Kenya imetushinda kwa kila kitu ukubali tu.Kwa hiyo unataka hao waswahili wa 255 nao waige yanayotokea huko Kenya?
Labda imekushinda wewe, usitake kumlazimisha kila mtu.Ukiambiwa Kenya imetushinda kwa kila kitu ukubali tu.
Nakataa.Hawajashinda kwa kila kitu.Tanzania inawashinda ujinga uliopea viwango.Ukiambiwa Kenya imetushinda kwa kila kitu ukubali tu.
Kibobori wee!Ukiambiwa Kenya imetushinda kwa kila kitu ukubali tu.
CCM inaongoza nchi kwa busara. Ndio maana umeona hata bajeti ya Uganda imeipita ya Tz. Nini maana yake? Tz haijajikadiria pakubwa kiasi cha kuwaumiza sana wananchi. Tofauti na Kenya ambao GDP yao kwa no 1.3 ya GDP ya TZ lakn wamejikadiria kukusanya 1.7 ya mapato ya Tanzania. Maana yake wameongeza makamuzi kwa wananchi.Waswahili wa 255 walishazimwa akili kwa moshi wa Mwenge, hawawezi kuthubutu kupinga chochote cha wasemaji wao kule Dodomer
Ndugu tuhurumie Tu maana sio Kwamba hatupendi ila ndo hivyo tulishafanywa misukuleWaswahili wa 255 walishazimwa akili kwa moshi wa Mwenge, hawawezi kuthubutu kupinga chochote cha wasemaji wao kule Dodomer
😁Waswahili wa 255 walishazimwa akili kwa moshi wa Mwenge, hawawezi kuthubutu kupinga chochote cha wasemaji wao kule Dodomer
Kwa hivyo wewe unajiona mshindi?Labda imekushinda wewe, usitake kumlazimisha kila mtu.
We utakuwa chawa tuuu!CCM inaongoza nchi kwa busara. Ndio maana umeona hata bajeti ya Uganda imeipita ya Tz. Nini maana yake? Tz haijajikadiria pakubwa kiasi cha kuwaumiza sana wananchi. Tofauti na Kenya ambao GDP yao kwa no 1.3 ya GDP ya TZ lakn wamejikadiria kukusanya 1.7 ya mapato ya Tanzania. Maana yake wameongeza makamuzi kwa wananchi.
Huwezi kuona maandamano ya ajabu kwa Taifa linalojitawala kwa busara, hekima, desturi, sheria na Katiba kama hapa Tz.
Wapi nimesema najiona mshindi? Acha kuandika upuuzi.Kwa hivyo wewe unajiona mshindi?
Shida watz wanapenda kuiga wanaona kenya wanaprotest na wao wanataka wafanye hivo bila kufikiri athari zitakazojitokezaWapi nimesema najiona mshindi? Acha kuandika upuuzi.