Serious: Natafuta mke mmoja tu

AnyWayZ

JF-Expert Member
May 30, 2022
4,880
8,395
Habarini Mabinti na wale wenye dada zao.

Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu.

Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi)
Elimu: Si muhimu.
Dini: Si muhimu.
Kabila: Si muhimu.
Kazi: Si muhimu ila asiwe mvivu mvivu.
Bikra: Si lazima ila watapewa kipaumbele.

Kuhusu mimi tutafahamiana PM.

Karibuni sana 🙏

NISAIDIE KUSHARE TUPATE WIFE MATERIAL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom