OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,037
- 114,487
Katika kuelekea Tanzania ya Viwanda maajabu hayataisha. Mbunge wa Nzega Mjini, Bwn.Hussen Bashe amemshangaa waziri na serikali ya CCM kutenga 2b kwa ajili ya kufufua kiwanda cha General Tyre. Taarifa zinaonyesha kuwa kiwanda hicho kinahitaji zaidi ya bilioni 60 ili kiweze kufanya kazi. Kinyume na matarajio ya wataalam serikali imetenga bilioni 2 tu..........................
Maajabu hayawezi kuisha,hiyo ni moja ya njia za kuendelea na tabia ya kujiandalia ulaji bila kustukiwa kwani hiyo 2 billion haiwezi hata kufanya kazi ya kuonekana hivyo wataiweka kwenye droo za meza zao na kutwambia kuwa zilitumika kiwandani lkn kwa kuwa zilikuwa ni kidogo kazi iliyofanyika haiwezi kuonekana kwa machoKatika kuelekea Tanzania ya Viwanda maajabu hayataisha. Mbunge wa Nzega Mjini, Bwn.Hussen Bashe amemshangaa waziri na serikali ya CCM kutenga 2b kwa ajili ya kufufua kiwanda cha General Tyre. Taarifa zinaonyesha kuwa kiwanda hicho kinahitaji zaidi ya bilioni 60 ili kiweze kufanya kazi. Kinyume na matarajio ya wataalam serikali imetenga bilioni 2 tu..........................
Kwahiyo unatuthibitishia kuwa elimu ya mbunge wenu inatia mashaka!!!!Mambo ya kitaalam haya.
Ndiyo maana tunasisitiza tuanze kuweka kiwango cha elimu kinachostahili kwa mtu kuwa mbunge.
Tusiwe wazushi. Ni wiki iliyopita wataalam wa UDSM walienda kufanya upembuzi yakinifu wa kiwanda hicho. Hivi haraka ya nini na kwa nini watu tukatishe tamaa watu ambao wanataka kuisaidia Tanzania irudi katika mstari!!! This behaviour is disgusting without data do not talk!!!!!!Katika kuelekea Tanzania ya Viwanda maajabu hayataisha. Mbunge wa Nzega Mjini, Bwn.Hussen Bashe amemshangaa waziri na serikali ya CCM kutenga 2b kwa ajili ya kufufua kiwanda cha General Tyre. Taarifa zinaonyesha kuwa kiwanda hicho kinahitaji zaidi ya bilioni 60 ili kiweze kufanya kazi. Kinyume na matarajio ya wataalam serikali imetenga bilioni 2 tu..........................
Kwahiyo unatuthibitishia kuwa elimu ya mbunge wenu inatia mashaka!!!!
Bado hujajibu swali languElimu ya mwenyekiti wako ndo haina mashaka.
Maajabu hayawezi kuisha,hiyo ni moja ya njia za kuendelea na tabia ya kujiandalia ulaji bila kustukiwa kwani hiyo 2 billion haiwezi hata kufanya kazi ya kuonekana hivyo wataiweka kwenye droo za meza zao na kutwambia kuwa zilitumika kiwandani lkn kwa kuwa zilikuwa ni kidogo kazi iliyofanyika haiwezi kuonekana kwa macho
Hivi ni kwanini nyinyi wachumia tumbo wa lumumba hamna hoja au hamtaki kuingia kwenye hoja na badala yake mnarukia mambo ya kupiga ramli?hivi ni nani aliye waloga nyie kizazi cha lumumba?Mnaombea sana serikali ya CCM ishindwe I dua zenu hazitafanikiwa.
Mkae msubiri viwanda vinavyoanza kufufuka ili roho zizidi kuwauma zaidi. Na uzuri ndugu zenu ndo watakuwa wa kwanza kwenda kufanya kazi viwandani.
Watu tunasubiri ajira itangazwe.
Alafu waziri wao wa viwanda na biashara anavyo jidai kujua kila kitu!Walikataa kuanza na elimu lazima tupate matokeo mabovu kama haya, wanachojua ccm ni kuua tu kufufua hawajaweza hata mara moja tutegemee awamu hii wataua hata maduka ya kina mangi mtaani baada ya kumaliza kuua yale ya ushirika.
Leo ndio unayajua haya?ama kweli nimeamini kuwa ukiwa mwana ccm inabidi ujitoe akili, umesahau kwenye rasimu ya jaji warioba kulikuwa na hicho kipengele cha elimu ya mbunge nyie ma ccm mkakitikataa kwa mbwembwe kibao,leo hii tena unasahau?Mambo ya kitaalam haya.
Ndiyo maana tunasisitiza tuanze kuweka kiwango cha elimu kinachostahili kwa mtu kuwa mbunge.