NI KUHUSU UFISADI WA KIMAFIA WA TRILIONI 1.3/- ZA MKOPO
*Kulipa faini ya mabilioni, vigogo wake wahojiwa.
Hatua hiyo imelenga kujua Watu waliofaidika na rushwa ya Sh billioni 12 zilizolipwa kwa KAMPUNI YA Enterprise Growth Market Advisors (EGMA), kupitia benki hiyo.