Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,627
- 30,606
[Verse 2]
Msikilize Peter Tosh - Legalize Marijuanabangi ni dawa na pia ina matumiz mengi sana kiuchumi ila kuna watu walifanya izuiwe kwa manufaa yao binafsi
Na katika tahadhari yao siku zote wanasema, uvutaji wa sigara kwenye mjumuiko wa watu sio mzuri, na inaweza ukuwaathiri wote walio karibu na wewe mvutaji wa Sigara.Jambo jema!!bangi ihalalishwe sigara na pombe vipigwe vita vinaua sana watu