Serikali ya Kenya imeanzisha mradi wa kusambaza Laptop kwa kila mwanafunzi katika shule zake za msingi na za sekondari. Kila mwanafunzi kuanzia umri wa miaka 6 na kuendelea atapatiwa Laptop yake darasani.
Mradi huu utawezesha waalimu kuacha kuandika ubaoni badala yake watatumia computer. Kuanzia wiki ijayo wanafunzi wanaanza kupewa Laptop bila malipo