Serikali ya Colombia kuwajengea nyumba wananchi walioathiriwa na maporomoko ya udongo

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
652
829
Nimemsikia Rais wa Colombia akisema atawajengea wananchi wake nyumba waliopatwa na maafa ya maporomoko ya udongo. Vile vile kwa sasa atawapa kila mtu dollar 87 kwa mwezi kama kodi ya pango. Sisi hapa tuliambiwa hakuna serikali duniani inayo wajengea nyumba wananchi wake.

Unajua mkuu kasahau kuwa huu ni wakati wa utandawazi tunaweza kujua kitu chochote kinachotoke duniani kokote mara moja. Aache kutudanganya, tunaakili na ufahamu wakujua kila kitu.
 
Huyu wetu huwa anatafuta sababu za kukwepa majumu. Huko kwa wenzetu ukiwaletea wanakupiga chini.
 
Serikali ya dunia ya Kyato haijengei watu nyumba bwana, ebho!
 
sisi hapa serikali haina hela ya kuwajengea nyumba waliopatwa na maafa bali INA HELA YA KUWAPA WAENDE KUANDAMANA.
 
Mkulu sasa hiv ameshtukia kuwa hapendwi. ila kwa lile tetemeko la kagera wananchi hawata msahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…