felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 290
- 677
Jamani, kwa niaba ya wafanyakazi wote wa serikali na halmashaur mbalimbali embu tuwekeeeni hio mishahara haraka iwezekanavyo, leo ndio siku nzuri ya kufanya maandalizi kwa ajili ya sikukuu za krismasi, kwanini hamna huruma? Mnataka kuweka mshahara jumatatu ama.jumanne siku za kazi, wekeni leo jumamosi wazazi tufanye maandalizi
Watoto zetu wamenuna hawajapata nguo za sikukuu, hapa sisemi wake zetu na jicho la pembeni wanaona tumeficha hela kumbe nyinyi ndio mnatufanyia mtima nyongo.
Wekeni sasahivi , tunataka simu za notification za NMB/CRDB zisome muda huu.
MHESHIMIWA DR. RAIS MAMASAMIA TOA NENO MOJA TU ALERT ZA SIMU ZIITE ZOTE TANZANIA