ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,743
- 72,157
Natambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kuujenga na kukijanisha Mji Mkuu yaani Jiji la Dodoma.
Pamoja na kazi kubwa iliyokwishafanyika ila ni Bora tuongeze juhudi zaidi.Kujenga Mji Mkuu Mpya sio jambo rahisi.
Kuna kazi ya kufanya hasa kwenye eneo la Kujifanya Dodoma ya Kijani Kwa kupanda miti ya kutosha,kuanzisha Bustani eneo oevu la Swaswa na Kujenga bwawa kubwa la Farkwa Ili kusaidia kulazimisha hewa iwe safi hapo Jijini.
Nchi za wenzetu mfano Nigeria(Abuja), Brazil(Brasilia) na Malawi(Lilongwe) nao walitumia vigezo kama vyeti vya Kuweka Mji Mkuu katikati ya Nchi zao kama ilivyo Dodoma hapa Tanzania lakini waliamua Kujenga Miji Yao bila kupoa.
Sasa hapa Tanzania naona Ile Kasi ya kujenga Jiji la Dodoma imepungua baada ya awamu ya 1 kumalizika Sasa sijui Serikali inajpanga upya au inakuaje? Je, hatuana roadmap ya Kujenga Jiji Kwa time frame?
Mwisho hivi inakuaje pale junction ya Kuingia Magufuli City na Morogoro road pako kienyeji vile? Kwamba tumeshindwa kuweka hata round about nzuri na ya kuvutia ikiwemo kujenga na mnara wenye sanamu la Magufuli? Mbona pako kienyeji enyeji tu?
Tujifunze Kwa Waliotangulia.
View: https://youtu.be/VlQIu3mwQjM?si=6jA5_8VPAkqRnosU